Jaguar...... F PACE yavunja rekodi mpya ya kuzunguka mduara wa nyuzi 360
Gari la kampuni ya Jaguar limefanikiwa kuingia katika vitabu vya historia baada ya kuweka historia ya kipekee kwa mara ya kwanza baada ya kuzunguka mzunguko 'loop the loop' wenye meta 19.08... mduara huo ulikuwa ni wa nyuzi 360. Gari hilo lilikuwa likiendeshwa na dereva maalum, na dereva huyo alifanikiwa kudhibiti gari hilo kutokuathiriwa na nguvu ya mvutano. Guinness World records Imethibitisha.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni