Kikwete ameyasema hayo mjini Kigoma baada ya ya uzinduzi wa majengo ya NSSF na NHC mjini humo.
"Endapo Tundu Lissu atashindwa kumtaja mwenye Richmond, Nitatoka hadharani na kumtaja mwenyewe" alisema Kikwete.
Huo umekuwa ndiyo msimamo wa ccm katika kila kampeni yao kuhusu mheshimiwa Edward Lowassa kuhama CCM.
Naye Lowassa amekuwa akusema kwamba alijiuzulu ili kuinusuru serikali na ilikuwa ni amri ya
wakubwa.
Pia mgombea urais kupitia CCM amekuwa akisema kwamba serikali yake itaanzisha mahakama ya kuhukumu watu wanaoiletea nchi hasara na umaskini..
JK akiwapungia mamia ya wakaazi wa Kigoma katika uwanja wa Lake Tanganyika.
majadiliano yamefunguliwa:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni